Luke 17:4
Kama akikukosea mara saba kwa siku moja na mara saba kwa siku moja akaja kwako akisema, ‘Ninatubu,’ msamehe.” 1 Imani
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Kwa hiyo, jilindeni. “Kama ndugu yako akikukosea mwonye, naye akitubu, msamehe.
5Mitume wake wakamwambia Bwana, “Tuongezee imani.”
Cross References
Matthew 6:12Utusamehe deni zetu, 2 kama sisi nasi tulivyokwisha 2 kuwasamehe wadeni wetu. 1
Matthew 18:16Lakini kama hatakusikiliza, nenda na mtu mwingine mmoja au wawili ili kila neno lithibitishwe kwa ushahidi wa mashahidi wawili au watatu.
Matthew 18:35“Hivi ndivyo Baba yangu wa mbinguni atakavyomfanyia kila mmoja wenu ikiwa hatamsamehe ndugu yake kutoka moyoni mwake.”
1 Corinthians 13:4Upendo huvumilia, upendo hufadhili, upendo hauoni wivu, hauna majivuno, hauna kiburi.
Colossians 3:12Kwa hiyo, kwa kuwa ninyi mmekuwa wateule wa Mungu, watakatifu wapendwao sana, jivikeni moyo wa huruma, utu wema, unyenyekevu, upole na uvumilivu.