Luke 18:39
Wale waliokuwa wametangulia mbele wakamkemea, wakamwambia akae kimya. Lakini yeye akapaza sauti zaidi, “Mwana wa Daudi, nihurumie!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
38Akapaza sauti, akasema, “Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!”
40Yesu akasimama, akawaamuru wamlete huyo mtu kwake. Alipokaribia, Yesu akamuuliza,
Cross References
Genesis 32:26Ndipo yule mtu akasema, “Niache niende, kwa kuwa ni mapambazuko.” Lakini Yakobo akajibu, “Sitakuacha uende usiponibariki.”
Jeremiah 29:12Kisha mtaniita, na mtakuja na kuniomba, nami nitawasikiliza.
Matthew 26:40Kisha akarudi kwa wanafunzi wake, akawakuta wamelala. Akamuuliza Petro, “Je, ninyi hamkuweza kukesha pamoja nami hata kwa saa moja?
Luke 11:8Nawaambia, ingawa huyo mtu hataamka na kumpa hiyo mikate kwa sababu ni rafiki yake, lakini kwa sababu ya kuendelea kwake kuomba, ataamka na kumpa kiasi anachohitaji.
Luke 18:1Kisha Yesu akawapa wanafunzi wake mfano ili kuwaonyesha kuwa yawapasa kuomba pasipo kukata tamaa.
Luke 18:38Akapaza sauti, akasema, “Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!”