Luke 18:41
“Unataka nikufanyie nini?” Akajibu, “Bwana, nataka kuona.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Saying, What wilt thou that I shall do unto thee? And he said, Lord, that I may receive my sight.
In Context
40Yesu akasimama, akawaamuru wamlete huyo mtu kwake. Alipokaribia, Yesu akamuuliza,
42Yesu akamwambia, “Basi upate kuona. Imani yako imekuponya.”
Cross References
Matthew 20:21Yesu akamuuliza, “Unataka nini?” Akajibu, “Tafadhali, wajalie wanangu hawa ili mmoja aketi upande wako wa kuume, na mwingine upande wako wa kushoto katika Ufalme wako.”
Philippians 4:6Msijisumbue kwa jambo lolote, bali katika kila jambo kwa kuomba na kusihi pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.