Luka 18:42
Yesu akamwambia, “Basi upate kuona. Imani yako imekuponya.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jesus said unto him, Receive thy sight: thy faith hath saved thee.
In Context
41“Unataka nikufanyie nini?” Akajibu, “Bwana, nataka kuona.”
Cross References
Psalms 107:20Akalituma neno lake na kuwaponya, 2 akawaokoa kutoka maangamizo yao. 1
Matthew 9:22Yesu akageuka, naye alipomwona akamwambia, “Binti, jipe moyo mkuu, imani yako imekuponya.” Naye yule mwanamke akapona kuanzia saa ile ile. 1 Yesu Amfufua Binti Wa Kiongozi Wa Sinagogi
Luke 7:50Yesu akamwambia yule mwanamke, “Imani yako imekuokoa; nenda kwa amani.”
Luke 17:19Yesu akamwambia, “Inuka na uende zako, imani yako imekuponya.” 1 Kuja Kwa Ufalme Wa Mungu (Mathayo 24:23-28, 37-41)