Luke 20:23
Lakini Yesu akatambua hila yao, kwa hiyo akawaambia,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But he perceived their craftiness, and said unto them, Why tempt ye me?
In Context
22Je, ni halali sisi kulipa kodi kwa Kaisari, au la?”
24“Nionyesheni dinari. Je, sura hii na maandishi haya yaliyoko juu yake ni vya nani?”
Cross References
Matthew 16:1Mafarisayo na Masadukayo wakamjia Yesu na kumjaribu kwa kumwomba awaonyeshe ishara kutoka mbinguni.
Luke 5:22Yesu akijua mawazo yao akawauliza, “Kwa nini mnawaza hivyo mioyoni mwenu?
Luke 11:16Wengine ili kumjaribu wakataka awaonyeshe ishara kutoka mbinguni.
Luke 20:20Kwa hiyo wakawa wanamchunguza na kutuma wapelelezi waliojifanya kuwa wenye haki ili wapate kumtega kwa maneno asemayo, ili wamtie katika uwezo na mamlaka ya mtawala.
1 Corinthians 3:19Kwa maana hekima ya ulimwengu huu ni upuzi mbele za Mungu. Kama ilivyoandikwa: “Mungu huwanasa wenye hekima katika hila yao,”
Hebrews 4:13Wala hakuna kiumbe chochote kilichofichika machoni pa Mungu. Kila kitu kimefunuliwa na kiko wazi machoni pake yeye ambaye kwake ni lazima tutatoa hesabu. 1 Yesu Kristo Kuhani Mkuu Kuliko Wote