Luke 20:6
Lakini tukisema, ‘Ulitoka kwa wanadamu,’ watu wote watatupiga mawe, kwa sababu wanaamini kwamba Yohana alikuwa nabii.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Basi wakajibu, “Hatujui ulikotoka.”
Cross References
Matthew 11:9Basi mlikwenda kuona nini? Mlikwenda kumwona nabii? Naam, nawaambia, yeye ni zaidi ya nabii.
Matthew 21:26Lakini tukisema, ‘Ulitoka kwa wanadamu,’ tunawaogopa hawa watu, maana wote wanamtambua Yohana kuwa ni nabii.”
Matthew 26:5Lakini wakasema, “Isiwe wakati wa Sikukuu, kusitokee ghasia miongoni mwa watu.” 1 Yesu Anapakwa Mafuta Huko Bethania (Marko 14:3-9; Yohana 12:1-8)
Luke 1:76“Nawe mtoto wangu, utaitwa nabii wa Aliye Juu Sana; 2 kwa kuwa utamtangulia Bwana 2 na kuandaa njia kwa ajili yake, 1
John 10:41Watu wengi wakamjia, nao wakawa wakisema, “Yohana hakufanya muujiza wowote, lakini kila jambo alilosema kumhusu huyu mtu ni kweli.”