Luka 20:7
Basi wakajibu, “Hatujui ulikotoka.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they answered, that they could not tell whence it was.
In Context
Cross References
Isaiah 6:9Akasema, “Nenda ukawaambie watu hawa: 1 “ ‘Mtaendelea daima kusikiliza, 2 lakini kamwe hamtaelewa; 1 mtaendelea daima kutazama, 2 lakini kamwe hamtatambua.’ 1
Isaiah 29:9Duwaeni na kushangaa, 2 jifanyeni vipofu wenyewe na msione, 1 leweni, lakini si kwa mvinyo, 2 pepesukeni lakini si kwa kileo. 1
Isaiah 41:28Ninatazama, lakini hakuna yeyote: 2 hakuna yeyote miongoni mwao awezaye kutoa shauri, 2 hakuna yeyote wa kutoa jibu wakati ninapowauliza. 1
Isaiah 44:18Hawajui chochote, hawaelewi chochote, 2 macho yao yamefungwa hata hawawezi kuona, 2 akili zao zimefungwa hata hawawezi kufahamu. 1
Zechariah 11:15Kisha Bwana akaniambia, “Vitwae tena vifaa vya mchungaji mpumbavu.
Malachi 2:7“Kwa maana yapasa midomo ya kuhani kuhifadhi maarifa. Tena kutoka kinywani mwake watu wangepaswa kutafuta mafundisho, kwa sababu yeye ni mjumbe wa Bwana Mwenye Nguvu Zote.