Luke 20:8
Yesu akawaambia, “Wala mimi sitawaambia ni kwa mamlaka gani ninatenda mambo haya.” 1 Mfano Wa Wapangaji Waovu (Mathayo 21:33-46; Marko 12:1-12)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jesus said unto them, Neither tell I you by what authority I do these things.
In Context
7Basi wakajibu, “Hatujui ulikotoka.”
Cross References
Job 5:12Huipinga mipango ya wenye hila, 2 ili mikono yao isifikie ufanisi. 1
Matthew 15:14Waacheni; wao ni viongozi vipofu, wanaoongoza vipofu. Kama kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, wote wawili watatumbukia shimoni.”
Matthew 21:27Kwa hiyo wakamjibu Yesu, “Sisi hatujui.” Naye akawaambia, “Wala mimi sitawaambia ni kwa mamlaka gani ninatenda mambo haya.” 1 Mfano Wa Wana Wawili
Luke 22:68Nami nikiwauliza swali, hamtanijibu.