Luke 21:2
Akamwona pia mjane mmoja maskini akiweka humo sarafu mbili ndogo za shaba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he saw also a certain poor widow casting in thither two mites.
In Context
1Yesu alipoinua macho yake, aliwaona matajiri wakiweka sadaka zao kwenye sanduku la hazina ya Hekalu.
3Yesu akasema, “Amin, nawaambia, huyu mjane maskini ameweka humo zaidi ya watu wengine wote.
Cross References
Mark 12:42Lakini mjane mmoja maskini akaja na kuweka sarafu mbili ndogo za shaba zenye thamani ya senti mbili.