The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 21 › Luke 21:3

Luke 21:3

Yesu akasema, “Amin, nawaambia, huyu mjane maskini ameweka humo zaidi ya watu wengine wote.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he said, Of a truth I say unto you, that this poor widow hath cast in more than they all:

In Context

2Akamwona pia mjane mmoja maskini akiweka humo sarafu mbili ndogo za shaba.

4Hawa watu wengine wote wametoa sadaka kutokana na wingi wa mali zao. Lakini huyu mjane ametoa kutokana na umaskini wake vyote alivyokuwa navyo, hata kile alichohitaji ili kuishi.” 1 Dalili Za Siku Za Mwisho (Mathayo 24:1-2; Marko 13:1-2)

Read all of Luke 21

Cross References

Mark 12:43Yesu akawaita wanafunzi wake, akawaambia, “Amin, nawaambia, huyu mjane maskini ameweka katika sanduku la hazina zaidi ya watu wengine wote.

Luke 4:25Lakini ukweli ni kwamba palikuwa na wajane wengi katika Israeli wakati wa Eliya, mbingu zilipofungwa kwa miaka mitatu na miezi sita pakawa na njaa kuu katika nchi nzima.

Luke 12:44Amin nawaambia, atamweka mtumishi huyo kuwa msimamizi wa mali yake yote.

Acts 10:34Ndipo Petro akafungua kinywa chake akasema, “Mungu hana upendeleo,

2 Corinthians 8:12Kwa kuwa kama nia ya kutoa ipo, kitolewacho kinakubalika kulingana na kile mtu alicho nacho, wala si kwa kile ambacho hana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 21:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 21:2Luke 21Luke 21:4 →