Luke 21:33
Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.” 1 Siku Ya Mwisho Itakuja Ghafula
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Heaven and earth shall pass away: but my words shall not pass away.
In Context
32“Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia.
Cross References
Psalms 102:26Hizi zitatoweka, lakini wewe utadumu, 2 zote zitachakaa kama vazi. 1 Utazibadilisha kama nguo 2 nazo zitaondoshwa. 1
Isaiah 51:6Inueni macho yenu mbinguni, 2 mkaitazame dunia chini; 1 mbingu zitatoweka kama moshi, 2 dunia itachakaa kama vazi, 2 na wakazi wake kufa kama mainzi. 1 Bali wokovu wangu utadumu milele, 2 haki yangu haitakoma kamwe. 1
Matthew 24:35Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe. 1 Hakuna Ajuaye Siku Wala Saa (Marko 13:32-37; Luka 17:26-30, 34-36)
1 Peter 1:25lakini neno la Bwana ladumu milele.” Hili ndilo neno lililohubiriwa kwenu.
Revelation 20:11Kisha nikaona kiti kikubwa cheupe cha enzi pamoja na yeye aliyeketi juu yake. Dunia na mbingu zikaukimbia uso wake wala mahali pao hapakuonekana.