The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 21 › Luke 21:35

Luke 21:35

Kwa maana kama vile mtego unasavyo, ndivyo siku hiyo itakavyowapata wanadamu wote waishio katika uso wa dunia yote.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For as a snare shall it come on all them that dwell on the face of the whole earth.

In Context

34“Jihadharini mioyo yenu isije ikalemewa na anasa, ulevi na fadhaa za maisha haya, nayo siku ile ikawakuta ninyi bila kutazamia kama vile mtego unasavyo.

36Kesheni daima na mwombe ili mweze kuokoka na yale yote yatakayotokea na kusimama mbele ya Mwana wa Adamu.”

Read all of Luke 21

Cross References

Genesis 7:4Siku saba kuanzia sasa nitaleta mvua juu ya nchi kwa siku arobaini usiku na mchana, nami nitafutilia mbali kutoka uso wa nchi kila kiumbe hai nilichokiumba.”

Ecclesiastes 9:12Zaidi ya hayo, hakuna mwanadamu ajuaye wakati saa yake itakapokuja: 1 Kama vile samaki wavuliwavyo katika wavu mkatili, 2 au ndege wanaswavyo kwenye mtego, 1 vivyo hivyo wanadamu hunaswa na nyakati mbaya 2 zinazowaangukia bila kutazamia. 1 Hekima Ni Bora Kuliko Upumbavu

Jeremiah 48:43Hofu kuu, shimo na mtego vinawangojea, 2 enyi watu wa Moabu,” 4 asema Bwana. 1

Acts 17:26Kutoka kwa mtu mmoja, yeye aliumba mataifa yote ya wanadamu ili waikalie dunia yote, naye akaweka nyakati za kuishi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 21:35

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 21:34Luke 21Luke 21:36 →