Luke 21:36
Kesheni daima na mwombe ili mweze kuokoka na yale yote yatakayotokea na kusimama mbele ya Mwana wa Adamu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 27:10Je, anaweza kumfurahia Mwenyezi? 2 Je, atamwita Mungu nyakati zote? 1
Malachi 3:2Lakini ni nani atakayeweza kustahimili hiyo siku ya kuja kwake? Ni nani awezaye kusimama atakapotokea? Kwa kuwa atakuwa kama moto wa mfua fedha au kama sabuni ya afuaye nguo.
Matthew 25:13“Kwa hiyo kesheni, kwa sababu hamjui siku wala saa. 1 Mfano Wa Watumishi Watatu Na Talanta (Luka 19:11-27)
Mark 13:33Jihadharini! Kesheni! Kwa maana hamjui wakati ule utakapowadia.
Luke 12:37Heri wale watumishi ambao bwana wao atakapokuja atawakuta wakiwa wanakesha. Amin, nawaambia, atajifunga mkanda wake na kuwaketisha ili wale, naye atakuja na kuwahudumia.
Luke 20:35Lakini wale ambao wamehesabiwa kwamba wanastahili kupata nafasi katika ulimwengu ule na katika ufufuo wa wafu, hawaoi wala hawaolewi.