The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 22 › Luke 22:39

Luke 22:39

Yesu akatoka, akaenda kwenye Mlima wa Mizeituni kama ilivyokuwa kawaida yake, nao wanafunzi wake wakamfuata.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he came out, and went, as he was wont, to the mount of Olives; and his disciples also followed him.

In Context

38Wanafunzi wake wakamwambia, “Bwana, tazama hapa kuna panga mbili.” Akawajibu, “Inatosha.” 1 Yesu Aomba Kwenye Mlima Wa Mizeituni (Mathayo 26:36-46; Marko 14:32-42)

40Walipofika huko, akawaambia wanafunzi wake, “Ombeni, msije mkaingia majaribuni.”

Read all of Luke 22

Cross References

Matthew 21:1Walipokaribia Yerusalemu, wakafika Bethfage katika Mlima wa Mizeituni. Ndipo Yesu akawatuma wanafunzi wake wawili,

Matthew 26:36Kisha Yesu akaenda pamoja na wanafunzi wake mpaka kwenye bustani iitwayo Gethsemane, akawaambia, “Kaeni hapa, nami niende kule nikaombe.”

Mark 11:19Ilipofika jioni, Yesu na wanafunzi wake wakatoka nje ya mji. 1 Mtini Ulionyauka (Mathayo 21:20-22)

Mark 14:26Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni. 1 Yesu Atabiri Kuwa Petro Atamkana (Mathayo 26:31-35; Luka 22:31-34; Yohana 13:36-38)

Luke 21:37Kila siku Yesu alikuwa akifundisha Hekaluni, na jioni ilipofika, alikwenda zake kwenye Mlima wa Mizeituni na kukaa huko usiku kucha.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 22:39

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 22:38Luke 22Luke 22:40 →