Luke 21:37
Kila siku Yesu alikuwa akifundisha Hekaluni, na jioni ilipofika, alikwenda zake kwenye Mlima wa Mizeituni na kukaa huko usiku kucha.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
38Nao watu wote walikuja asubuhi na mapema Hekaluni ili kumsikiliza.
Cross References
Matthew 21:1Walipokaribia Yerusalemu, wakafika Bethfage katika Mlima wa Mizeituni. Ndipo Yesu akawatuma wanafunzi wake wawili,
Matthew 26:30Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni. 1 Yesu Atabiri Petro Kumkana (Marko 14:27-31; Luka 22:31-34; Yohana 13:36-38)
Mark 11:12Kesho yake walipokuwa wakitoka Bethania, Yesu alikuwa na njaa.
Luke 19:37Alipokaribia mahali yanapoanzia materemko ya Mlima wa Mizeituni, umati wote wa wafuasi wake wakaanza kumsifu Mungu kwa furaha kwa sauti kuu kwa ajili ya matendo yote ya miujiza waliyoyaona. Wakasema: 1
John 12:1Siku sita kabla ya Pasaka, Yesu alikwenda Bethania mahali ambako Lazaro aliyekuwa amefufuliwa na Yesu alikuwa anaishi.