Mark 15:6
Ilikuwa desturi wakati wa Sikukuu ya Pasaka kumfungulia mfungwa yeyote ambaye watu wangemtaka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now at that feast he released unto them one prisoner, whomsoever they desired.
In Context
Cross References
Matthew 26:5Lakini wakasema, “Isiwe wakati wa Sikukuu, kusitokee ghasia miongoni mwa watu.” 1 Yesu Anapakwa Mafuta Huko Bethania (Marko 14:3-9; Yohana 12:1-8)
Luke 23:16Kwa hiyo nitaamuru apigwe mijeledi na kumwachia.” [
John 18:39Lakini ninyi mna desturi yenu kwamba wakati wa Pasaka nimwachie huru mfungwa mmoja mnayemtaka. Je, mnataka niwafungulie huyu ‘Mfalme wa Wayahudi’?”
Acts 24:27Baada ya miaka miwili kupita, Porkio Festo akaingia kwenye utawala mahali pa Feliksi, lakini kwa kuwa Feliksi alitaka kuwapendeza Wayahudi, akamwacha Paulo gerezani.