The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 23 › Luke 23:3

Luke 23:3

Basi Pilato akamuuliza Yesu, “Wewe ndiye mfalme wa Wayahudi?” Yesu akajibu, “Wewe wasema.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Pilate asked him, saying, Art thou the King of the Jews? And he answered him and said, Thou sayest it.

In Context

2Nao wakaanza kumshtaki wakisema: “Tumemwona huyu mtu akipotosha taifa letu, akiwazuia watu wasilipe kodi kwa Kaisari na kujiita kuwa yeye ni Kristo, + 23:2 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. mfalme.”

4Pilato akawaambia viongozi wa makuhani na watu wote waliokuwepo, “Sioni sababu ya kutosha kumshtaki mtu huyu!”

Read all of Luke 23

Cross References

Mark 15:2Pilato akamuuliza, “Je, wewe ndiye Mfalme wa Wayahudi?” Yesu akajibu, “Wewe umesema.”

Mark 15:32Basi huyu Kristo, + 15:32 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. huyu Mfalme wa Israeli, ashuke sasa kutoka msalabani, ili tupate kuona na kuamini.” Wale waliosulubiwa pamoja naye pia wakamtukana. 1 Kifo Cha Yesu Msalabani (Mathayo 27:45-56; Luka 23:44-49; Yohana 19:28-30)

Luke 19:38“Amebarikiwa Mfalme ajaye kwa Jina la Bwana!” 2 “Amani mbinguni na utukufu huko juu sana.”

Luke 23:38Kwenye msalaba juu ya kichwa chake, kulikuwa na maandishi haya: Huyu ndiye Mfalme wa Wayahudi. Maandishi haya yalikuwa yameandikwa kwa lugha za Kiyunani, Kilatini na Kiebrania.

John 18:33Kwa hiyo Pilato akaingia ndani ya jumba la kifalme, akamwita Yesu, akamuuliza, “Wewe ndiye mfalme wa Wayahudi?”

John 19:19Pilato akaamuru tangazo liandikwe na liwekwe juu kwenye msalaba wa Yesu, likasema: “ Yesu wa Nazareti, Mfalme wa Wayahudi.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 23:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 23:2Luke 23Luke 23:4 →