The Bible Software
bible.softwareMarkMark 15 › Mark 15:32

Mark 15:32

Basi huyu Kristo, + 15:32 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. huyu Mfalme wa Israeli, ashuke sasa kutoka msalabani, ili tupate kuona na kuamini.” Wale waliosulubiwa pamoja naye pia wakamtukana. 1 Kifo Cha Yesu Msalabani (Mathayo 27:45-56; Luka 23:44-49; Yohana 19:28-30)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Let Christ the King of Israel descend now from the cross, that we may see and believe. And they that were crucified with him reviled him.

In Context

31Vivyo hivyo, viongozi wa makuhani pamoja na walimu wa sheria wakamdhihaki miongoni mwao wakisema, “Aliwaokoa wengine, lakini hawezi kujiokoa mwenyewe!

33Ilipofika saa sita, giza liliifunika nchi yote hadi saa tisa.

Read all of Mark 15

Cross References

Isaiah 44:6“Hili ndilo asemalo Bwana, 2 Mfalme wa Israeli na Mkombozi, 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 Mimi ni wa kwanza na Mimi ni wa mwisho; 2 zaidi yangu hakuna Mungu. 1

Zechariah 9:9Shangilia sana, ee Binti Sayuni! 2 Piga kelele, Binti Yerusalemu! 1 Tazama, Mfalme wako anakuja kwako, 2 ni mwenye haki, naye ana wokovu, 2 ni mpole, naye amepanda punda, 2 mwana-punda, mtoto wa punda. 1

Matthew 27:44Hata wale wanyangʼanyi waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana vivyo hivyo. 1 Kifo Cha Yesu (Marko 15:33-41; Luka 23:44-49; Yohana 19:28-30)

Mark 15:26Tangazo likaandikwa la mashtaka dhidi yake lenye maneno haya: “ Mfalme wa Wayahudi.”

John 1:49Nathanaeli akamwambia, “Rabi, wewe ni Mwana wa Mungu! Wewe ni Mfalme wa Israeli!”

John 19:12Tangu wakati huo, Pilato akajitahidi kutafuta njia ya kumfungua Yesu, lakini Wayahudi wakazidi kupiga kelele wakisema, “Ukimwachia huyu mtu, wewe si rafiki wa Kaisari. Mtu yeyote anayedai kuwa mfalme anampinga Kaisari.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 15:32

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 15:31Mark 15Mark 15:33 →