Luke 23:42
Kisha akasema, “Yesu, unikumbuke utakapokuja katika Ufalme wako.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he said unto Jesus, Lord, remember me when thou comest into thy kingdom.
In Context
Cross References
Psalms 106:4Ee Bwana, unikumbuke unapowatendea mema watu wako, 2 uwe msaada wangu unapowaokoa, 1
Isaiah 53:10Lakini yalikuwa ni mapenzi ya Bwana 2 kumchubua na kumsababisha ateseke. 1 Ingawa Bwana amefanya maisha yake 2 kuwa sadaka ya hatia, 1 ataona uzao wake na kuishi siku nyingi, 2 nayo mapenzi ya Bwana yatafanikiwa mkononi mwake. 1
Luke 12:8“Ninawaambia kwamba yeyote atakayenikiri mbele ya watu, Mwana wa Adamu naye atamkiri mbele za malaika wa Mungu.
Luke 24:26Je, haikumpasa Kristo + 24:26 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. kuteswa kwa njia hiyo na kisha aingie katika utukufu wake?”
John 20:28Tomaso akamwambia, “Bwana wangu na Mungu wangu!”
Acts 20:21Nimewashuhudia Wayahudi na Wayunani kwamba inawapasa kumgeukia Mungu kwa kutubu dhambi na kumwamini Bwana wetu Yesu Kristo.