The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 23 › Luke 23:44

Luke 23:44

Ilikuwa kama saa sita mchana, nalo giza likafunika nchi yote hadi saa tisa,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And it was about the sixth hour, and there was a darkness over all the earth until the ninth hour.

In Context

43Yesu akamjibu, “Amin, nakuambia, leo hii utakuwa pamoja nami Paradiso.” + 23:43 Paradiso maana yake bustani nzuri, hapa ina maana mahali zinapokwenda roho za wacha Mungu, yaani watakatifu. 1 Kifo Cha Yesu (Mathayo 27:45-56; Marko 15:33-41; Yohana 19:28-30)

45kwa sababu jua liliacha kutoa nuru. Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili.

Read all of Luke 23

Cross References

Exodus 10:21Kisha Bwana akamwambia Mose, “Nyoosha mkono wako kuelekea angani ili giza litande katika nchi ya Misri, giza ambalo watu wanaweza kulipapasa na kulihisi.”

Joel 2:31Jua litageuzwa kuwa giza 2 na mwezi kuwa mwekundu kama damu, 1 kabla ya kuja siku ya Bwana 2 ile kuu na ya kutisha. 1

Amos 8:9“Katika siku ile,” asema Bwana Mwenyezi, 1 “Nitalifanya jua litue alasiri na kuifanya dunia 2 iwe giza wakati wa mchana mwangavu. 1

Matthew 27:45Tangu saa sita hadi saa tisa giza liliifunika nchi yote.

Mark 15:33Ilipofika saa sita, giza liliifunika nchi yote hadi saa tisa.

John 19:14Basi ilikuwa siku ya Maandalio ya Pasaka, yapata kama saa sita hivi. Pilato akawaambia Wayahudi, “Huyu hapa mfalme wenu!”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 23:44

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 23:43Luke 23Luke 23:45 →