Luka 23:51
lakini yeye hakuwa amekubaliana na maamuzi na vitendo vya viongozi wenzake. Huyu alikuwa mwenyeji wa Arimathaya huko Uyahudi, naye alikuwa anaungojea Ufalme wa Mungu kwa matarajio makubwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
52Yosefu alikwenda kwa Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu.
Cross References
Genesis 37:21Reubeni aliposikia jambo hili, akajaribu kumwokoa kutoka mikononi mwao akasema, “Tusiutoe uhai wake.
Genesis 49:18“Ee Bwana, nautafuta wokovu wako. 1
1 Samuel 1:1Kulikuwepo na mtu mmoja kutoka Rama, Msufi kutoka nchi ya vilima vya Efraimu, ambaye jina lake aliitwa Elikana mwana wa Yerohamu, mwana wa Elihu mwana wa Tohu, mwana wa Sufu, Mwefraimu.
Isaiah 8:12“Usiite fitina kila kitu ambacho watu hawa hukiita fitina, 2 usiogope kile wanachokiogopa, 2 wala usikihofu. 1
Luke 2:25Basi alikuwako huko Yerusalemu mtu mmoja jina lake Simeoni, ambaye alikuwa mwenye haki na mcha Mungu, akitarajia faraja ya Israeli, na Roho Mtakatifu alikuwa juu yake.
Luke 23:42Kisha akasema, “Yesu, unikumbuke utakapokuja katika Ufalme wako.”