bible.software › Luka › Luka 23 › Luka 23:6
Luka 23:6
Pilato aliposikia hayo akauliza, “Huyu mtu ni Mgalilaya?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When Pilate heard of Galilee, he asked whether the man were a Galilaean.
In Context
5Lakini wao wakakazana kusema, “Anawachochea watu kwa mafundisho yake katika Uyahudi yote, tangu Galilaya alikoanzia, hadi sehemu hii!” 1 Yesu Apelekwa Kwa Herode
7Alipofahamu kwamba Yesu alikuwa chini ya mamlaka ya Herode, akampeleka kwa Herode, ambaye wakati huo alikuwa pia Yerusalemu.
Read all of Luka 23
Cross References
Luke 13:1Wakati huo huo, kulikuwa na watu waliomwambia Yesu habari za Wagalilaya ambao Pilato aliwaua, na damu ya hao watu akaichanganya na dhabihu yao waliyokuwa wanatoa.
This Verse In Other Editions
Study Luka 23:6