Luke 23:5
Lakini wao wakakazana kusema, “Anawachochea watu kwa mafundisho yake katika Uyahudi yote, tangu Galilaya alikoanzia, hadi sehemu hii!” 1 Yesu Apelekwa Kwa Herode
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Pilato aliposikia hayo akauliza, “Huyu mtu ni Mgalilaya?”
Cross References
Psalms 22:16Mbwa wamenizunguka, 2 kundi la watu waovu limenizingira, 2 wametoboa mikono yangu na miguu yangu. 1
Psalms 69:4Wale wanaonichukia bila sababu 2 ni wengi kuliko nywele za kichwa changu; 1 wengi ni adui kwangu bila sababu, 2 wale wanaotafuta kuniangamiza. 1 Ninalazimishwa kurudisha 2 kitu ambacho sikuiba. 1
Matthew 4:23Yesu akapita katika Galilaya yote, akifundisha katika masinagogi yao, akihubiri habari njema za Ufalme, na akiponya kila ugonjwa na kila aina ya maradhi miongoni mwa watu.
Mark 1:14Baada ya Yohana kukamatwa na kutiwa gerezani, Yesu aliingia Galilaya akaanza kuhubiri habari njema ya Mungu,
Luke 11:53Yesu alipoondoka huko, walimu wa sheria na Mafarisayo wakaanza kumpinga vikali na kumsonga kwa maswali,
John 1:43Siku iliyofuata Yesu aliamua kwenda Galilaya. Akamkuta Filipo, akamwambia, “Nifuate.”