Luka 24:51
Alipokuwa anawabariki, akawaacha, akachukuliwa mbinguni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And it came to pass, while he blessed them, he was parted from them, and carried up into heaven.
In Context
50Akiisha kuwaongoza mpaka kwenye viunga vya Bethania, akainua mikono yake juu na kuwabariki.
52Kisha wakamwabudu na kurudi Yerusalemu wakiwa wamejawa na furaha kuu.
Cross References
2 Kings 2:11Walipokuwa wakitembea pamoja na kuzungumza, ghafula gari la moto na farasi wa moto vilitokea na kuwatenganisha wao wawili, naye Eliya akapanda mbinguni katika upepo wa kisulisuli.
John 20:17Yesu akamwambia, “Usinishike, kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ‘Ninapaa kwenda kwa Baba yangu ambaye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu ambaye ni Mungu wenu.’ ”
Ephesians 4:8Kwa hiyo husema: 1 “Alipopaa juu zaidi, + 4:8 Juu zaidi hapa ina maana mbingu za mbingu. 2 aliteka mateka, 2 akawapa wanadamu vipawa.”
Hebrews 4:14Kwa kuwa tunaye Kuhani Mkuu kuliko wote ambaye ameingia mbinguni, Yesu Mwana wa Mungu, basi na tushikamane sana kwa uthabiti na ule ukiri wa imani yetu.