bible.software › Luke › Luke 5 › Luke 5:16
Luke 5:16
Lakini mara kwa mara Yesu alijitenga nao ili kwenda mahali pa faragha kuomba. 1 Yesu Amponya Mtu Mwenye Kupooza (Mathayo 9:1-8; Marko 2:1-12)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he withdrew himself into the wilderness, and prayed.
In Context
15Lakini habari zake Yesu zikazidi sana kuenea kotekote kuliko wakati mwingine wowote. Makutano makubwa ya watu yalikuwa yakikusanyika ili kumsikiliza na kuponywa magonjwa yao.
17Siku moja Yesu alipokuwa akifundisha, Mafarisayo na walimu wa sheria, waliokuwa wametoka kila kijiji cha Galilaya na kutoka Uyahudi na Yerusalemu, walikuwa wameketi huko. Nao uweza wa Bwana ulikuwa juu yake kuponya wagonjwa.
Read all of Luke 5
Cross References
Mark 1:35Alfajiri na mapema sana kulipokuwa bado kuna giza, Yesu akaamka, akaondoka, akaenda mahali pa faragha ili kuomba.
Luke 6:12Ikawa katika siku hizo Yesu alikwenda mlimani kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu.
This Verse In Other Editions
Study Luke 5:16