The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 3 › Luke 3:34

Luke 3:34

Yuda alikuwa mwana wa Yakobo, 1 Yakobo alikuwa mwana wa Isaki, 1 Isaki alikuwa mwana wa Abrahamu, 1 Abrahamu alikuwa mwana wa Tera, 1 Tera alikuwa mwana wa Nahori, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Which was the son of Jacob, which was the son of Isaac, which was the son of Abraham, which was the son of Thara, which was the son of Nachor,

In Context

33Nashoni alikuwa mwana wa Aminadabu, 1 Aminadabu alikuwa mwana wa Aramu, 1 Aramu alikuwa mwana wa Hesroni, 1 Hesroni alikuwa mwana wa Peresi, 1 Peresi alikuwa mwana wa Yuda, 1

35Nahori alikuwa mwana wa Serugi, 1 Serugi alikuwa mwana wa Reu, 1 Reu alikuwa mwana wa Pelegi, 1 Pelegi alikuwa mwana wa Eberi, 1 Eberi alikuwa mwana wa Sala, 1

Read all of Luke 3

Cross References

Genesis 11:24Nahori alipokuwa na miaka ishirini na tisa, akamzaa Tera.

Genesis 25:26Baadaye, ndugu yake akatoka, mkono wake ukiwa umemshika Esau kisigino; akaitwa jina lake Yakobo. + 25:26 Yakobo maana yake Ashikaye kisigino, au Atwaaye mahali pa mwingine, au Mdanganyaji, au Mwenye hila, au Mlaghai, au Mjanja. Isaki alikuwa mwenye miaka sitini Rebeka alipowazaa.

1 Chronicles 1:24Wana wa Shemu walikuwa Arfaksadi, Shela, 2

Matthew 1:2Abrahamu akamzaa Isaki, 2 Isaki akamzaa Yakobo, 2 Yakobo akawazaa Yuda na ndugu zake, 2

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 3:34

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 3:33Luke 3Luke 3:35 →