Luke 4:15
Akaanza kufundisha kwenye masinagogi yao, na kila mmoja akamsifu. 1 Yesu Akataliwa Nazareti (Mathayo 13:53-58; Marko 6:1-6)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he taught in their synagogues, being glorified of all.
In Context
Cross References
Matthew 4:23Yesu akapita katika Galilaya yote, akifundisha katika masinagogi yao, akihubiri habari njema za Ufalme, na akiponya kila ugonjwa na kila aina ya maradhi miongoni mwa watu.
Matthew 9:35Yesu akazunguka katika miji yote na vijiji vyote, akifundisha katika masinagogi yao, akihubiri habari njema za Ufalme, na akiponya kila ugonjwa na kila aina ya maradhi.
Mark 1:27Watu wote wakashangaa, hata wakaulizana wao kwa wao, “Haya ni mambo gani? Ni mafundisho mapya, tena yenye mamlaka! Anaamuru hata pepo wachafu, nao wanamtii!”
Mark 1:45Lakini yule mtu akaenda akaanza kutangaza habari za kuponywa kwake waziwazi. Kwa hiyo, Yesu hakuweza tena kuingia katika miji waziwazi lakini alikaa sehemu zisizo na watu. Hata hivyo watu wakamfuata huko kutoka kila upande.
Luke 13:10Basi Yesu alikuwa akifundisha katika sinagogi mojawapo siku ya Sabato.