Luke 4:25
Lakini ukweli ni kwamba palikuwa na wajane wengi katika Israeli wakati wa Eliya, mbingu zilipofungwa kwa miaka mitatu na miezi sita pakawa na njaa kuu katika nchi nzima.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24Yesu akasema, “Amin, nawaambia, hakuna nabii anayekubalika katika mji wake mwenyewe.
Cross References
1 Kings 17:1Basi Eliya, Mtishbi kutoka Tishbi katika Gileadi, akamwambia Ahabu, “Kama Bwana, Mungu wa Israeli, aishivyo, ambaye ninamtumikia, hapatakuwa na umande wala mvua katika miaka hii, isipokuwa kwa neno langu.”
Isaiah 55:8“Kwa kuwa mawazo yangu si mawazo yenu, 2 wala njia zenu si njia zangu,” 4 asema Bwana. 1
Mark 7:26Basi huyo mwanamke alikuwa Myunani, aliyezaliwa Foinike ya Siria. + 7:26 Kulikuwa na Foinike ya Siria (ndio Shamu) na Foinike ya Libya. Akamsihi Yesu amtoe binti yake huyo pepo mchafu.
Romans 9:15Kwa maana Mungu alimwambia Mose, 1 “Nitamrehemu yeye nimrehemuye, 2 na pia nitamhurumia yeye nimhurumiaye.”
Ephesians 1:9Naye alitujulisha siri ya mapenzi yake sawasawa na uradhi wa mapenzi yake, ambayo alikusudia katika Kristo,
James 5:17Eliya alikuwa mwanadamu kama sisi. Akaomba kwa bidii kwamba mvua isinyeshe, nayo haikunyesha juu ya nchi kwa muda wa miaka mitatu na miezi sita.