Luke 6:12
Ikawa katika siku hizo Yesu alikwenda mlimani kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Kulipopambazuka, akawaita wanafunzi wake, naye akachagua kumi na wawili, ambao pia aliwaita mitume:
Cross References
Genesis 32:24Kwa hiyo Yakobo akaachwa peke yake na mtu mmoja akashikana naye mweleka mpaka mapambazuko.
Psalms 55:15Kifo na kiwajie adui zangu ghafula, 2 na washuke kuzimu wangali hai, 2 kwa maana uovu upo ndani yao. 1
Daniel 6:10Basi Danieli alipofahamu kuwa amri ile imetangazwa, alikwenda nyumbani kwenye chumba chake cha ghorofani ambako madirisha yalifunguka kuelekea Yerusalemu. Akapiga magoti na kuomba mara tatu kwa siku, akimshukuru Mungu wake kama alivyokuwa akifanya mwanzoni.
Matthew 14:23Baada ya kuwaaga, akaenda zake mlimani peke yake kuomba. Jioni ilipofika, Yesu alikuwa huko peke yake.
Mark 6:46Baada ya kuwaaga wale watu, akaenda mlimani kuomba.
Colossians 4:2Dumuni sana katika maombi, mkikesha katika hayo pamoja na kushukuru.