Luke 6:31
Watendeeni wengine kama ambavyo mngetaka wawatendee ninyi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And as ye would that men should do to you, do ye also to them likewise.
In Context
30Mpe kila akuombaye, na kama mtu akichukua mali yako usitake akurudishie.
Cross References
Matthew 22:39Nayo ya pili ni kama hiyo, nayo ni hii: ‘Mpende jirani yako kama nafsi yako.’
James 2:8Kama kweli mnaitimiza ile sheria ya kifalme inayopatikana katika Maandiko isemayo, “Mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako,” mnafanya vyema.