Luke 6:36
Kuweni na huruma, kama Baba yenu alivyo na huruma. 1 Kuwahukumu Wengine (Mathayo 7:1-5)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Be ye therefore merciful, as your Father also is merciful.
In Context
37“Msihukumu, nanyi hamtahukumiwa. Msilaumu, nanyi hamtalaumiwa. Sameheni, nanyi mtasamehewa.
Cross References
Ephesians 4:31Ondoeni kabisa uchungu, ghadhabu, hasira, makelele na masingizio pamoja na kila aina ya uovu.
1 Peter 1:15Bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, nanyi kuweni watakatifu katika mwenendo wenu wote.