The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 6 › Luke 6:43

Luke 6:43

“Hakuna mti mzuri uzaao matunda mabaya, wala hakuna mti mbaya uzaao matunda mazuri.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For a good tree bringeth not forth corrupt fruit; neither doth a corrupt tree bring forth good fruit.

In Context

42Utawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu yangu, acha nitoe kibanzi kilicho ndani ya jicho lako,’ wakati wewe mwenyewe huoni boriti iliyo ndani ya jicho lako? Ewe mnafiki, ondoa boriti ndani ya jicho lako kwanza, ndipo utaweza kuona dhahiri jinsi ya kuondoa kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako. 1 Mti Na Mazao Yake (Mathayo 7:16-20; Marko 12:33-35)

44Kila mti hujulikana kwa matunda yake. Kwa maana watu hawachumi tini kwenye miiba, wala zabibu kwenye michongoma.

Read all of Luke 6

Cross References

Psalms 92:12Wenye haki watastawi kama mtende, 2 watakuwa kama mwerezi wa Lebanoni, 1

Isaiah 61:3na kuwapa mahitaji 2 wale wanaohuzunika katika Sayuni, 1 ili kuwapa taji ya uzuri badala ya majivu, 2 mafuta ya furaha badala ya maombolezo, 2 vazi la sifa badala ya roho ya kukata tamaa. 1 Nao wataitwa mialoni ya haki, 2 pando la Bwana, 2 ili kuonyesha utukufu wake. 1

Matthew 3:10Hata sasa shoka limeshawekwa tayari kwenye shina la kila mti, basi kila mti usiozaa matunda mazuri, hukatwa na kutupwa motoni.

Matthew 12:33“Ufanye mti kuwa mzuri, nayo matunda yake yatakuwa mazuri. Au ufanye mti kuwa mbaya, na matunda yake yatakuwa mabaya. Kwa maana mti hutambulika kwa matunda yake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 6:43

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 6:42Luke 6Luke 6:44 →