Luka 7:30
Lakini Mafarisayo na wataalamu wa sheria walikataa mpango wa Mungu kwao kwa kutokubali kubatizwa na Yohana.)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
31Yesu akawauliza, “Niwafananishe na nini watu wa kizazi hiki? Wanafanana na nini?
Cross References
Matthew 22:35Mmoja wao, mtaalamu wa sheria, akamuuliza swali ili kumjaribu, akisema,
Acts 20:27Kwa kuwa sikusita kuwatangazia mapenzi yote ya Mungu.
2 Corinthians 6:1Kama watendakazi pamoja na Mungu, tunawasihi msipokee neema ya Mungu bure.
Ephesians 1:11Katika Kristo sisi nasi tumepata urithi, tukisha kuchaguliwa sawasawa na kusudi la Mungu, yeye ambaye hufanya mambo yote kulingana na kusudi la mapenzi yake,