Luke 7:41
“Palikuwa na mtu mmoja aliyewakopesha watu wawili fedha: Mmoja alidaiwa dinari 500 + 7:41 Dinari 500 ni sawa na mshahara wa kibarua wa siku mia tano. na mwingine dinari hamsini.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
40Yesu akanena akamwambia, “Simoni, nina jambo la kukuambia.” Simoni akajibu, “Mwalimu, sema.”
Cross References
Isaiah 50:1Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Iko wapi hati ya talaka ya mama yako 2 ambayo kwayo niliachana naye? 1 Au nimewauza ninyi kwa nani 2 miongoni mwa watu wanaonidai? 1 Kwa ajili ya dhambi zenu mliuzwa, 2 kwa sababu ya makosa, mama yenu aliachwa. 1
Matthew 6:12Utusamehe deni zetu, 2 kama sisi nasi tulivyokwisha 2 kuwasamehe wadeni wetu. 1
Matthew 18:28“Lakini yule mtumishi alipokuwa anatoka nje, akakutana na mtumishi mwenzake aliyekuwa amemkopesha dinari + 18:28 Dinari moja ilikuwa kama mshahara wa kibarua wa siku moja. mia moja. Akamkamata, akamkaba koo akimwambia, ‘Nilipe kile ninachokudai!’
Luke 11:4Utusamehe dhambi zetu, 2 kwa kuwa na sisi huwasamehe wote wanaotukosea. 1 Wala usitutie majaribuni 2 (bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu).’ ”
Luke 13:4Au wale watu kumi na wanane waliokufa walipoangukiwa na mnara huko Siloamu: mnadhani wao walikuwa waovu kuliko watu wote waliokuwa wanaishi Yerusalemu?
Romans 3:23kwa kuwa wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu,