Luke 8:10
Naye akasema, “Ninyi mmepewa kufahamu siri za Ufalme wa Mungu, lakini kwa wengine nazungumza kwa mifano, ili, 1 “ ‘ingawa wanatazama, wasione; 2 ingawa wanasikiliza, wasielewe.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Wanafunzi wake wakamuuliza maana ya mfano huo.
11“Maana ya mfano huu ni hii: Mbegu ni neno la Mungu.
Cross References
Psalms 25:14Siri ya Bwana iko kwa wale wamchao, 2 yeye huwajulisha agano lake. 1
Isaiah 29:14Kwa hiyo mara nyingine tena nitawashangaza watu hawa, 2 kwa ajabu juu ya ajabu. 1 Hekima ya wenye hekima itapotea, 2 nayo akili ya wenye akili itatoweka.” 1
Jeremiah 5:21Sikieni hili, enyi watu wapumbavu, msio na akili, 2 mlio na macho lakini hamwoni, 2 mlio na masikio lakini hamsikii: 1
Matthew 13:11Akawajibu, “Ninyi mmepewa kuzifahamu siri za Ufalme wa Mbinguni, lakini wao hawajapewa.
Mark 4:11Naye akawaambia, “Ninyi mmepewa kujua siri ya Ufalme wa Mungu. Lakini kwa wale walioko nje, kila kitu husemwa kwao kwa mifano,
John 12:40“Amewafanya vipofu, 2 na kuifanya mioyo yao kuwa migumu, 1 ili wasiweze kuona kwa macho yao, 2 wala kuelewa kwa mioyo yao, 2 wasije wakageuka nami nikawaponya.”