Matthew 13:19
Mtu yeyote anaposikia neno la Ufalme naye asilielewe, yule mwovu huja na kunyakua kile kilichopandwa moyoni mwake. Hii ndiyo ile mbegu iliyopandwa kando ya njia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18“Sikilizeni basi maana ya ule mfano wa mpanzi:
Cross References
Proverbs 1:20Hekima huita kwa sauti kuu barabarani, 2 hupaza sauti yake kwenye viwanja vikubwa; 1
Proverbs 17:16Fedha ina faida gani mikononi mwa mpumbavu, 2 wakati yeye hana haja ya kupata hekima? 1
Matthew 4:23Yesu akapita katika Galilaya yote, akifundisha katika masinagogi yao, akihubiri habari njema za Ufalme, na akiponya kila ugonjwa na kila aina ya maradhi miongoni mwa watu.
Matthew 13:38Shamba ni ulimwengu na mbegu nzuri ni wana wa Ufalme. Magugu ni wana wa yule mwovu.
Luke 8:11“Maana ya mfano huu ni hii: Mbegu ni neno la Mungu.
Luke 10:9waponyeni wagonjwa waliomo na waambieni: ‘Ufalme wa Mungu umekaribia.’