The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 8 › Luke 8:9

Luke 8:9

Wanafunzi wake wakamuuliza maana ya mfano huo.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And his disciples asked him, saying, What might this parable be?

In Context

8Mbegu nyingine zilianguka kwenye udongo mzuri. Zikaota na kuzaa mara mia moja zaidi ya mbegu alizopanda.” Baada ya kusema haya, Yesu akapaza sauti, akasema, “Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.”

10Naye akasema, “Ninyi mmepewa kufahamu siri za Ufalme wa Mungu, lakini kwa wengine nazungumza kwa mifano, ili, 1 “ ‘ingawa wanatazama, wasione; 2 ingawa wanasikiliza, wasielewe.’

Read all of Luke 8

Cross References

Hosea 6:3Tumkubali Bwana, 2 tukaze kumkubali yeye. 1 Kutokea kwake ni hakika kama vile 2 kuchomoza kwa jua; 1 atatujia kama mvua za masika, 2 kama vile mvua za vuli 2 ziinyweshavyo nchi.” 1

Matthew 13:18“Sikilizeni basi maana ya ule mfano wa mpanzi:

Matthew 15:15Petro akasema, “Tueleze maana ya huu mfano.”

Mark 4:34Hakusema nao neno lolote pasipo mfano. Lakini alipokuwa na wanafunzi wake, aliwafafanulia kila kitu. 1 Yesu Atuliza Dhoruba (Mathayo 8:23-27; Luka 8:22-25)

John 15:15Siwaiti ninyi watumishi tena, kwa sababu watumishi hawajui bwana wao analofanya, bali nimewaita ninyi rafiki, kwa maana nimewajulisha mambo yote niliyoyasikia kutoka kwa Baba yangu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 8:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 8:8Luke 8Luke 8:10 →