bible.software › Matthew › Matthew 13 › Matthew 13:18
Matthew 13:18
“Sikilizeni basi maana ya ule mfano wa mpanzi:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Hear ye therefore the parable of the sower.
In Context
17Amin, nawaambia, manabii wengi na wenye haki walitamani kuona yale mnayoyaona lakini hawakuyaona, na walitamani kusikia yale mnayoyasikia lakini hawakuyasikia. 1 Maelezo Ya Mfano Wa Mbegu (Marko 4:13-20; Luka 8:11-15)
19Mtu yeyote anaposikia neno la Ufalme naye asilielewe, yule mwovu huja na kunyakua kile kilichopandwa moyoni mwake. Hii ndiyo ile mbegu iliyopandwa kando ya njia.
Read all of Matthew 13
Cross References
Matthew 13:11Akawajibu, “Ninyi mmepewa kuzifahamu siri za Ufalme wa Mbinguni, lakini wao hawajapewa.
Luke 8:11“Maana ya mfano huu ni hii: Mbegu ni neno la Mungu.
This Verse In Other Editions
Study Matthew 13:18