bible.software › Luke › Luke 9 › Luke 9:21
Luke 9:21
Yesu akawakataza wasimwambie mtu yeyote jambo hilo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he straitly charged them, and commanded them to tell no man that thing;
In Context
20Kisha akawauliza, “Je, ninyi mnasema mimi ni nani?” Petro akajibu, “Wewe ndiwe Kristo + 9:20 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. wa Mungu.”
22Yesu akasema, “Imempasa Mwana wa Adamu kupata mateso mengi na kukataliwa na wazee, viongozi wa makuhani, na walimu wa sheria, na itampasa auawe, lakini siku ya tatu kufufuliwa kutoka mauti.”
Read all of Luke 9
Cross References
Matthew 17:9Walipokuwa wakishuka kutoka mlimani, Yesu akawaagiza, “Msimwambie mtu yeyote mambo mliyoyaona hapa, mpaka Mwana wa Adamu atakapofufuliwa kutoka kwa wafu.”
This Verse In Other Editions
Study Luke 9:21