The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 9 › Luke 9:20

Luke 9:20

Kisha akawauliza, “Je, ninyi mnasema mimi ni nani?” Petro akajibu, “Wewe ndiwe Kristo + 9:20 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. wa Mungu.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He said unto them, But whom say ye that I am? Peter answering said, The Christ of God.

In Context

19Wakamjibu, “Baadhi husema wewe ni Yohana Mbatizaji, wengine husema ni Eliya, na bado wengine husema kwamba ni mmoja wa manabii wa kale amefufuka kutoka kwa wafu.”

21Yesu akawakataza wasimwambie mtu yeyote jambo hilo.

Read all of Luke 9

Cross References

Matthew 5:47Nanyi kama mkiwasalimu ndugu zenu tu, je, mnafanya nini zaidi ya wengine? Je, hata watu wasiomjua Mungu, hawafanyi hivyo?

Matthew 22:42“Mnaonaje kuhusu Kristo? + 22:42 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. Yeye ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Yeye ni mwana wa Daudi.”

Mark 8:29Akawauliza, “Je, ninyi mnasema mimi ni nani?” Petro akajibu, “Wewe ndiwe Kristo.” + 8:29 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta.

Luke 22:67Wakamwambia, “Kama wewe ndiye Kristo, + 22:67 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. tuambie.” Yesu akawajibu, “Hata nikiwaambia hamtaamini.

John 1:49Nathanaeli akamwambia, “Rabi, wewe ni Mwana wa Mungu! Wewe ni Mfalme wa Israeli!”

John 4:42Wakamwambia yule mwanamke, “Sasa tunaamini, wala si kwa sababu ya maneno yako tu, bali kwa kuwa tumemsikia sisi wenyewe. Tumejua hakika kweli ya kwamba huyu ndiye Kristo, Mwokozi wa ulimwengu.” 1 Yesu Amponya Mwana Wa Afisa

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 9:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 9:19Luke 9Luke 9:21 →