The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 9 › Luke 9:45

Luke 9:45

Lakini wao hawakuelewa alimaanisha nini. Maana ya maneno hayo ilifichika kwao, hivyo hawakuyaelewa, nao wakaogopa kumuuliza maana yake. 1 Ni Nani Atakayekuwa Mkubwa Kuliko Wote (Mathayo 18:1-5; Marko 9:33-37)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But they understood not this saying, and it was hid from them, that they perceived it not: and they feared to ask him of that saying.

In Context

44“Sikilizeni kwa makini haya nitakayowaambia sasa: Mwana wa Adamu atasalitiwa na kutiwa mikononi mwa watu.”

46Kukazuka mabishano miongoni mwa wanafunzi kuhusu ni nani miongoni mwao atakayekuwa mkuu kuliko wote.

Read all of Luke 9

Cross References

Matthew 16:22Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea akisema, “Haiwezekani, Bwana! Jambo hili kamwe halitakupata!”

Mark 8:32Aliyasema haya waziwazi, ndipo Petro akamchukua kando na akaanza kumkemea.

Mark 9:32Lakini wao hawakuelewa kile alimaanisha, nao waliogopa kumuuliza maana yake. 1 Mabishano Kuhusu Aliye Mkuu Zaidi (Mathayo 18:1-5; Luka 9:46-48)

Luke 9:46Kukazuka mabishano miongoni mwa wanafunzi kuhusu ni nani miongoni mwao atakayekuwa mkuu kuliko wote.

John 4:33Basi wanafunzi wakaanza kuulizana, “Kuna mtu ambaye amemletea chakula?”

John 12:34Ule umati wa watu ukapiga kelele ukasema, “Tumesikia kutoka Sheria kwamba ‘Kristo + 12:34 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. adumu milele,’ wewe wawezaje kusema, ‘Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa juu’? Huyu ‘Mwana wa Adamu’ ni nani?”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 9:45

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 9:44Luke 9Luke 9:46 →