Malachi 2:14
Mnauliza, “Kwa nini?” Ni kwa sababu Bwana ni shahidi kati yako na mke wa ujana wako, kwa sababu umevunja uaminifu naye, ingawa yeye ni mwenzako, mke wa agano lako la ndoa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 2:18Bwana Mungu akasema, “Si vyema huyu mtu awe peke yake. Nitamfanyia msaidizi wa kumfaa.”
Judges 11:10Viongozi wa Gileadi wakamjibu Yefta, “ Bwana ndiye shahidi yetu. Kwa hakika tutafanya kama usemavyo.”
Proverbs 2:17aliyemwacha mwenzi wa ujana wake 2 na kupuuza agano alilofanya mbele ya Mungu. 1
Proverbs 5:20Kwa nini mwanangu, utekwe na mwanamke kahaba? 2 Kwa nini ukumbatie kifua cha mke wa mwanaume mwingine? 1
Ecclesiastes 9:9Furahia maisha na mke wako, umpendaye, siku zote za maisha ya ubatili uliyopewa na Mungu chini ya jua, siku zote za ubatili. Kwa maana hili ndilo fungu lako katika maisha na katika kazi yako ya taabu chini ya jua.
Isaiah 54:6Bwana atakuita urudi 2 kana kwamba ulikuwa mke aliyeachwa na kuhuzunishwa rohoni; 1 kama mke aliyeolewa bado angali kijana 2 na kukataliwa,” asema Mungu wako. 1