Proverbs 5:20
Kwa nini mwanangu, utekwe na mwanamke kahaba? 2 Kwa nini ukumbatie kifua cha mke wa mwanaume mwingine? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And why wilt thou, my son, be ravished with a strange woman, and embrace the bosom of a stranger?
In Context
21Kwa maana njia za mtu ni wazi kabisa mbele za Bwana, 2 naye huyapima mapito yake yote. 1
Cross References
1 Kings 11:1Hata hivyo, Mfalme Solomoni akawapenda wanawake wengi wa kigeni zaidi, mbali na binti Farao: wanawake wa Wamoabu, Waamoni, Waedomu, Wasidoni na Wahiti.
Proverbs 6:24yakikulinda na mwanamke aliyepotoka, 2 kutokana na maneno laini ya mwanamke aliyepotoka. 1
Proverbs 22:14Kinywa cha mwanamke kahaba ni shimo refu; 2 yeye aliye chini ya ghadhabu ya Bwana 2 atatumbukia ndani yake. 1
Proverbs 23:33Macho yako yataona mambo mageni 2 na moyo wako kuwazia mambo yaliyopotoka. 1
Malachi 2:16“Ninachukia kuachana,” asema Bwana, Mungu wa Israeli, “pia nachukia mtu anayejivika jeuri kama vazi,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. Kwa hiyo jihadharini wenyewe katika roho zenu, wala msije mkavunja uaminifu. 1 Siku Ya Hukumu