Mark 1:43
Baada ya Yesu kumwonya vikali, akamruhusu aende zake
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he straitly charged him, and forthwith sent him away;
In Context
42Mara ukoma ukamtoka, naye akatakasika.
Cross References
Mark 3:12Lakini aliwaonya wasimseme yeye ni nani. 1 Yesu Achagua Mitume Kumi Na Wawili (Mathayo 10:1-4; Luka 6:12-16)
Mark 7:36Yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote habari hizi. Lakini kadiri alivyowazuia, ndivyo walivyozidi kutangaza kwa bidii.