Mark 10:18
Yesu akamwambia, “Mbona unaniita mwema? Hakuna yeyote aliye mwema ila Mungu peke yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jesus said unto him, Why callest thou me good? there is none good but one, that is, God.
In Context
Cross References
1 Samuel 2:2“Hakuna yeyote aliye mtakatifu kama Bwana, 2 hakuna mwingine zaidi yako; 2 hakuna Mwamba kama Mungu wetu. 1
Psalms 86:5Ee Bwana, wewe ni mwema na mwenye kusamehe, 2 umejaa upendo kwa wote wakuitao. 1
Matthew 19:17Yesu akamjibu, “Mbona unaniuliza habari ya mema? Aliye mwema ni Mmoja tu. Lakini ukitaka kuingia uzimani, zitii amri.”
John 5:41“Mimi sitafuti kutukuzwa na wanadamu.
James 1:17Kila kitolewacho kilicho chema na kilicho kamili, hutoka juu, na hushuka kutoka kwa Baba wa mianga, ambaye kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeukageuka.
1 John 4:16Hivyo nasi twajua na kulitumainia pendo la Mungu alilo nalo kwa ajili yetu. Mungu ni Upendo. Kila akaaye katika upendo hukaa ndani ya Mungu na Mungu hukaa ndani yake.