Mark 12:9
“Sasa basi yule mwenye shamba atafanya nini? Atakuja na kuwaua hao wapangaji, kisha atawapa wapangaji wengine hilo shamba la mizabibu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Hivyo wakamchukua na kumuua, wakamtupa nje ya lile shamba la mizabibu.
10Je, hamjasoma Andiko hili: 1 “ ‘Jiwe walilolikataa waashi 2 limekuwa jiwe kuu la pembeni; 1
Cross References
Leviticus 26:23“ ‘Ikiwa pamoja na mambo haya hamtakubali maonyo yangu lakini mkaendelea kuweka uadui nami,
Deuteronomy 4:26ninaziita mbingu na nchi kama mashahidi dhidi yenu siku hii kwamba mtaangamia mara moja kutoka nchi ile ambayo mnavuka Yordani kuimiliki. Hamtaishi kule kwa muda mrefu bali kwa hakika mtaangamizwa.
Joshua 23:15Lakini kama vile kila ahadi njema ya Bwana Mungu wenu imekuwa kweli, vivyo hivyo Bwana ataleta maovu yote kama alivyo onya, mpaka awe amewaangamiza kutoka nchi hii nzuri aliyowapa.
Isaiah 5:5Sasa nitawaambia lile nitakalolitendea 2 shamba langu la mizabibu: 1 Nitaondoa uzio wake, 2 nalo litaharibiwa, 1 nitabomoa ukuta wake, 2 nalo litakanyagwa. 1
Isaiah 32:15mpaka Roho amwagwe juu yetu kutoka juu, 2 nalo jangwa kuwa shamba lenye rutuba, 2 na shamba lenye rutuba kuwa kama msitu. 1
Jeremiah 17:3Mlima wangu katika nchi pamoja na utajiri 2 na hazina zako zote nitazitoa ziwe nyara, 1 pamoja na mahali pako pa juu pa kuabudia miungu 2 kwa sababu ya dhambi katika nchi yako yote. 1