Mark 12:8
Hivyo wakamchukua na kumuua, wakamtupa nje ya lile shamba la mizabibu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they took him, and killed him, and cast him out of the vineyard.
In Context
Cross References
Matthew 21:39Hivyo wakamchukua, wakamtupa nje ya shamba la mizabibu, wakamuua.
Hebrews 13:11Kuhani mkuu huchukua damu ya wanyama na kuiingiza Patakatifu pa Patakatifu, kama sadaka ya dhambi, lakini miili ya hao wanyama huteketezwa nje ya kambi.