Mark 13:22
Kwa maana watatokea makristo wa uongo na manabii wa uongo, nao watafanya ishara na maajabu ili kuwapotosha, ikiwezekana, hata wale wateule.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 7:15“Jihadharini na manabii wa uongo, wanaowajia wakiwa wamevaa mavazi ya kondoo, lakini ndani ni mbwa mwitu wakali.
Mark 13:6Wengi watakuja kwa Jina langu wakidai, ‘Mimi ndiye,’ nao watawadanganya wengi.
John 10:27Kondoo wangu huisikia sauti yangu nami nawajua, nao hunifuata,
2 Timothy 2:19Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, ukiwa na muhuri wenye maandishi haya: “Bwana anawajua walio wake”; tena, “Kila alitajaye jina la Bwana, na auache uovu.”
1 John 2:26Nawaandikia mambo haya kuhusu wale watu ambao wanajaribu kuwapotosha.
Revelation 13:13Naye akafanya ishara kuu na za ajabu, hata kusababisha moto kushuka toka mbinguni kuja duniani watu wakiona waziwazi.