The Bible Software
bible.softwareMarkMark 13 › Mark 13:31

Mark 13:31

Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe. 1 Hakuna Ajuaye Siku Wala Saa (Mathayo 24:36-44)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Heaven and earth shall pass away: but my words shall not pass away.

In Context

30Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia.

32“Kwa habari ya siku ile na saa hakuna yeyote ajuaye, hata malaika walio mbinguni wala Mwana, ila Baba peke yake.

Read all of Mark 13

Cross References

Numbers 23:19Mungu si mtu, hata aseme uongo, 2 wala yeye si mwanadamu, hata ajute. 1 Je, anasema, kisha asitende? 2 Je, anaahidi, asitimize? 1

2 Kings 15:12Kwa hiyo neno la Bwana lililonenwa kwa Yehu likatimia, kwamba, “Wazao wako wataketi juu ya kiti cha enzi cha Israeli hadi kizazi cha nne.” 1 Shalumu Mfalme Wa Israeli

Psalms 102:25Hapo mwanzo uliweka misingi ya dunia, 2 nazo mbingu ni kazi ya mikono yako. 1

Isaiah 51:6Inueni macho yenu mbinguni, 2 mkaitazame dunia chini; 1 mbingu zitatoweka kama moshi, 2 dunia itachakaa kama vazi, 2 na wakazi wake kufa kama mainzi. 1 Bali wokovu wangu utadumu milele, 2 haki yangu haitakoma kamwe. 1

Matthew 5:18Kwa maana, amin nawaambia, mpaka mbingu na dunia zitakapopita, hakuna hata herufi moja ndogo wala nukta itakayopotea kwa namna yoyote kutoka kwenye Sheria, mpaka kila kitu kiwe kimetimia.

Luke 21:33Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.” 1 Siku Ya Mwisho Itakuja Ghafula

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 13:31

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 13:30Mark 13Mark 13:32 →