Mark 14:11
Walifurahi sana kusikia jambo hili na wakaahidi kumpa fedha. Hivyo yeye akawa anatafuta wakati uliofaa wa kumsaliti. 1 Yesu Ala Pasaka Na Wanafunzi Wake (Mathayo 26:17-25; Luka 22:7-14, 21-23; Yohana 13:21-30)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 21:20Ahabu akamwambia Eliya, “Kwa hiyo umenipata, wewe adui yangu!” Akajibu, “Ndiyo, nimekupata. Kwa sababu umejiuza mwenyewe kufanya uovu mbele ya macho ya Bwana.
Proverbs 1:10Mwanangu, kama wenye dhambi wakikushawishi, 2 usikubaliane nao. 1
Hosea 7:3“Wanamfurahisha sana mfalme kwa maovu yao, 2 wakuu wao kwa uongo wao. 1
Luke 22:5Wakafurahi na wakakubaliana kumpa fedha.
2 Peter 2:14Wakiwa na macho yaliyojaa uzinzi, kamwe hawaachi kutenda dhambi. Huwashawishi wale wasio imara. Wao ni hodari kwa kutamani; ni wana wa laana!